Baada ya Lulu na Richie mtambalike kunyakua tuzo kubwa za filamu huko Nchini Nigeria,Wadau wa filamu Tanzania (Bongo Movies) wamefunguka kuwa toka Marehemu Steven Kanumba amefariki mambo kwa ray yanakwenda mrama,maana anaonekana ameridhika kutokana na kukosa ushindani aliokuwa akiupata enzi za marehemu Kanumba.Wengi wakisema ray ndiye alikuwa anaonekana ataipeperusha vizur bendera ya Tz.
Ray ambaye kwa sasa yupo kwenye promosheni ya muvi yake mpya iitwayo "Tajiri Mfupi"Aliwashirikisha mastaa kadhaa ikiwemo Batuli
No comments:
Post a Comment