Kadri siku zinavozidi kwenda Mambo yanonekana kwenda Vizur kwa Nguli wa muziki Tanzania Nasseb Abdul (diamond Platnumz).Imepita wiki moja Tangu Amefanya Show Las Vegas Marekani (Hard Rock Cafe) na kujaza Ukumbi Kinoma Show za ulaya bado zinaendelea.Tazama list ya show Pichani
Tuachie maoni yako hapo chini
No comments:
Post a Comment