PROMO

PROMO
Nikikuita Mp3

Wednesday, March 30, 2016

Lady Jaydee akiongea kwenye uzinduzi wa wimbo wake mpya Ndindindi

Harmonize akiongelea safari yake na alivyokutana na Diamond

Chriss_r7;Photographer Mdogo Anae kuja kwa kasi Tanzania

chriss_r7
Chisstopher Nickodem (Chiss_R7)kijana Mweye umri wa miaka 22 tu Lakini Amekuwa akifanya kazi kubwa kwenye Tasnia ya Picha.Kijana huyo ambaye Hana Muda mrefu tangu aanze sanaa hiyo lkn kazi zake zimempatia Jina na heshima kitu ambacho kimesababisha Photograpers wakubwa kumtolea macho na kumhofia pia.

kijana huyo ambaye yupo chini ya kampuni ya Dream Multimedia Iliyopo Sinza jijini dar es saalam inayodeal na Photoshoot pamoja na video Ameshafanya kazi na wasanii wakubwa kadhaa Baadhi Ni Zamaradi Mketema(mtangazaji clouds fm)Isha Mashauzi(muimbaji Nguli wa Taarab,Riyama Ally(Muiigizaji,Leo Masterio(mwanamuziki) Na Tross (mwanamuziki)
Zamaradi na Chris
Pia amekuwa akideal na picha za event mbalimbali,art cover,Models photograph,

      Hizi ni Picha 10 Exclussive chini ya mikono yake









Toa maoni yako kwenye kisanduku hapo chini

Saturday, March 26, 2016

Dudu Baya Asema Chid Benz Hatakiwi Kusaidiwa








  • Baada ya rapa Chidi Benz kuomba msaada ili asaidiwe
    kuirudisha afya yake ambayo imethorofika kutokana na
    matumizi ya Madawa ya kulevyana na baadae kusaidiwa na
    Babu Tale kwa kupelekwa rehab. Wadau mbalimbali pamoja
    na wasanii wenzake walimpongeza Babutale lakini Dudu Baya
    amedai hakupenda rapa huyo asaidiwe.

    Dudu amedai rapa huyo hakuwa tayari kusaidiwa
    ndio maana baada ya
    kusaidiwa anataka kujipangia baadhi ya mambo.
    “Watu mfano wa Chidi Benz hawatakiwi kusaidiwa,
    niwakuachwa wafe na wazikwe. Kwanza ni waongo,
    ukikutana nao utasikia naumwa au nimefiwa, utampa
    msaada, mwisho wa siku anaenda kujidunga. Misaada kama
    hii inatufanya majina yetu kuwekwa kataka orodha ya wauaji
    (killers),” alisema Dudu.

    Aliongeza, “Babutale na wenzake walipomfisha Chidi Benz
    rehab kwanza alianza kuweka masharti yake kituoni, mara
    hawezi kushauriwa na mtu ambaye hajawahi kutumia sumu
    hiyo (unga). Hapo ndipo nilipogundua amebebwa kinguvu bila
    yeye kuwa tayari kupona. Ni sawa na mgonjwa apelekwe
    hospitali then aanze kutoa masharti yake, eti hiki kitanda
    sikitaki. Wewe dokta huwezi kunitibu kwa sababu hujawahi
    kuumwa ugonjwa ninaoumwa, mgonjwa kama huyo si
    nachotaka ni kifo?. Hata wakati yesu amekuja kutukomboa
    na dhambi, aliponya wagonjwa waliokuwa tayari kupona, hata
    leo umpeleke ndugu yako kanisani au msikitini akaombewe
    aache ulevi au umalaya, kama hana dhamira ndani ya moyo
    wake ya kuacha, hakiwezi tokea chochote,”
    Pia Dudu amesema wasanii wengi wanasikia kila siku kuhusu
    madhara ya Madawa ya kulevya lakini wanapuuzia.

    Chidi Benz si mtoto mdogo, ameshuhudia wasanii na watu
    wa kawaida wengi tukiwapoteza kwa sababu ya Madawa ya
    kulevya lakini wanapuumzia, wanarudia kubwia tena. iweje
    leo yeye ajiingize kataka ulimwengu huo? hakika kifo
    anakitaka mwenyewe na si kurubuniwa. Uzuri wa Tanzania
    hatuna umasikini wa ardhi, watu kama hawa hawana faida
    kwa taifa, niwakuacha wafe na wazikwe. Na kama
    inawezekana Mh Rais Magufuli angetoa amri mateja wakifa
    wazikwe na jiji. Kwa sababu sioni ndugu yeyote wa Chidi
    yuko bize na rapper huyo.

Song Of The Month:Tros Nikikuita



Tros - Tros Dream Boy_Nikikuita - Download Mobile | Audiomack

EXCLUSIVE: Afande Sele 'bangi ihalalishwe tu Tanzania'

Vanessa Mdee - Niroge (Official Music Video)

CHIDI BENZ ALIPOHOJIWA NA D'WIKEND CHAT SHOW

VIDEO: Jengo la gorofa 16 lililojengwa kimakosa Dar limeshushwa tayari

Thursday, March 17, 2016

Raymond alivyokutana na Diamond

Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz:
Msanii Chipukizi Aliyewahi kuwa mshindi wa Freestyle Tanzania Nzima,ambaye ss amesaini Label ya WCB inayomilikiwa na Mbongo Fleva Diamond Platnumz Amefunguka Jinsi ambavyo alikutana na Diamond Kupitia Mic za Millard ayo Info za town inakusogezea hii..
BOFYA HAPA Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz:Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz: http://youtu.be/Q2N730e7tkI

Tuesday, March 15, 2016

Bye Bye P Square.



Kama ni mpitiaji mzur
 Wa blog Hii juzi tuli report Sababu 5 Kuwa P square haipo tena..hiyo ni kulingana na mfululizo wa matukio yanayoonesha wazi wanamuziki hao Nguli wa Muziki Africa wameamua kutengana moja ya matukio hayo ni hili la Peter Okoye Ambaye kwa ss anajiita Mr.P kufanya Show peke yake kama Solo Artist kitu ambacho hakijazoeleka na haijawahi kutokea.


Lakini kama bado Haitoshi Peter Okoye Mr.P Ametangaza Management yake mpya Kupitia ukurasa wake wa Instagram .


Wadau wa muziki wanasikitishwa sana na mambo haya yanayoendelea baina ya ndugu hao..

New Song:Ningefanyaje Remix Ben paul ft.G Nako &Vj adams

Leo hii msanii Nguli wa R&B Ben Paul Ameachia track yake mpya ya Ningefanyaje remix aliyompa
  Shavu m Nigeria Vj Adams pamoja na mbongo mwezie G nako.Nimekuweke hapa》》https://mkito.com/song/nitafanyaje-ningefanyaje-remix/19325

Monday, March 14, 2016

Exclusive:Petronia Vs Kikunizo Mwanzo mwisho Hii Hapa

Bila Shaka Utakuwa Umesikia maneno yanayoendelea.Baada ya msanii anayefanya poa nyanda za juu KUSINI Petronia kusema hata Perform katika show ya Zax..sasa jua chanzo cha yote
              Mambo Yalianza hivi kwenye moja ya magroup watsapp



Baada ya petty kutoka kauli hiyo kikunizo akajibu hivi


Baada ya kauli hyo Uvumilivu ulimshinda mwanadada petty majibizano yaliyofuata hayawekuweza kutosha kwenye screenshot lkn Team yetu ya Info za town ikaona isiwe tabu ikuletee Mdau uyasome km yalivyo.

MAJIBIZANO YALIKUWA HIVI


[10:28, 14/03/2016] fetty: Achana nae Rama huyu ni kumbabutale tu kashajiona ametusua wakat wenye game tunamuangalia tu hv km alikuwa hataki kuperfom kwann asingesema toka posters ya kwanza imetoka then why hajanifata private ishu iko hv wakat posters nataka kudesign nilimpigia Robert nikamwambia anitajie wasanii watano anaotaka waperfom cku hyo akanitumia majina nadhani uneyaona pale na pia nilimpigia na zax pia akatuma jina la petronia SS ilitakiwa ahoji km akupewa taarifa @all
[12:36, 14/03/2016] Petronia Mfaume: Petronia yahya mfaume 

Jamani mtu anapo waheshim mjarbu kushika adabu zenu Mimi xo msukule Wa mtu narudia tena mm xo msukure Wa mtu nimewaheshim vya kutosha sasa naomba niseme ya takoni mana ya moyoni msije ntoa roho

Marangapi mneniita kwenye show zenu bila hiyana mtoto Wa watu na kuja bila hata kupigiwa kengere haya mmeandaa show now hamkunshirikisha chochote nakuja ona postaz tu nkakaa kimya nkajua mtajishtukia mnakuja nieka kene group  na postaz nyingine juu.. ivi mnazani watu hatuna ratiba zingine ni vile mkijisikia nyie hamna ela za mboga mnakaa kujadir na familia zenu now tuandae show tusje kufa njaa mnasahau kuwa hao wasanii mnaowatumia nao ni maskin ka nyie na lengo lao kufika mbali xo kuskika kwenye mageto ya washkaji zao af mtu unavimba kabsa ert tum babu tale....kwamba ww ni nani kwamfano kama mwanijua kwa jina la petronia still mnasafar ndefu sana kunijua kiundani.... alilopanga salehe ..juma anaeza lipangua ila xo la mungu .... ert najifanya star... jamani mm co star kwa jina lisilo rasmi naitwa petronia yahya mfaume msichana mwenye ndoto za kutimiza kila ninaloliomba kwa mungu lifanikiwe....xijawah kuwa na ushabiki Wa kitu wala mtu yoyote tangu nzaliwe nafanya kile roho yangu inapenda Mimi xo kitega uchumi cha mtu mkiishiwa ela za mboga mkurupuke kuntumia ka msukure wenu tena mshike adabu zenu asubuh nliongea simple tu xta kuepo kwenye show.... xikutoa sababu na bado sijaitoa na szan ka kuna haja ya kuitoa..  kazi kwenu...

SHIKA ADABU YAKO😾😠

Vipaji ckupewa na babu zenu ka nyie ma star x mjieke kwenye list mkaimbe
.......
[12:47, 14/03/2016] fetty: [12:44, 3/14/2016] Doctor Faz: Narudia  KILICHOTOKEA KIMETOKEA ALIYEKOSEA  AJIREKEBISHE NA ASIRUDIE  TENA NAJUA ANASOMA  HAPA SOO YAISHE TUSONGE MBELE MALUMBANO HAYATUSAIDII KUFANIKISHA MALENGO YA EVENT GUYS EM LIISHE HILI TUFANYE HII HARAKAT KWA UFANIS TAREHE ZIMEISHA
[12:44, 3/14/2016] ‪+255 684 881 884‬: MAKUBWAAAAAAA😳😳😳😳😳
[12:45, 3/14/2016] 8D Twice: Kwa ujumbe wa petty sidhani kama studio zinahusika hapo ila ni wazi kuwa wasanii nao washachoka kutumiwa kwa self interest za watu flani hapo hata challenge haipo kila akienda kupafom anakuta wasanii walewale haoni kipya...inachosha badilikeni jamani
[12:45, 3/14/2016] Kikunizo: Nasir kaniambia msanii yuko chini yake inbox ushaidi ninao lkn hii sio Mara ya kwanza nakumbuka ata show ya tros nasir aligoma nolesy mtafya wasiimbe kwny show wakat Tros alikuwa kashawaweka kwny jingo ishu ilikuwa kubwa mpka ilitaka kufika mahakamani anyway baada ya hii ishu watu wakanipenyezea Nani ni chanzo cha hii kitu ko sijataka kuumiza kichwa cose najua jinsi gan tunavyokwamishana wnyw pindi mziki tunapotaka tuupelekw mainstream, over
[12:46, 3/14/2016] Kikunizo: Then muulizen. Petty km hakuongea na zax?
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kwann usingefanya bargaining na tros au kwann mm usiniambie umezunguka sana chief ilikuwa ni ishu simple sana we ungesema tu kuna alot AF artist wameniomba kufanya heavy performance zaid ya huyo dgo ningejua nareplace VPlkn njia uliyotumia sio sahihi
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kwahiyo kiku mimi ndie niliemuandikia fetty huo ujumbe uletwe huku?
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kiku we ni mtu uliyepaswa kuleta mabadiriko makubwa kwani heshima yako ni kubwa sana katika mziki huu labda wengine wanahofu kusema kwasababu mnadai mtawababu tale lkn ss jambo lisilokuwa na usawa tunaongea haijalishi kafanyiwa nani ishu ya tros tros yumo humu aongee aliongea na nani kabla ya kumuweka mtafya au nolesy kwenye show yake
[12:56, 14/03/2016] fetty: petty samahan sana kwa kukuweka bila kukuambia kweny show japo mesej nyingi zax alikutumia na jana ucku mliongea yakaisha hvo plz poteza haya mambo endelea na ratiba yako dat y meomba utolew kila sehem ili kusawazisha mambo maana watu wamevalia njuga ili swala akat lilikua la kumalizana ww na zax kwasabu mnamwasiliano mazur tuu hamna bifu..👏👏
[13:31, 14/03/2016] Petronia Mfaume: Xo kila mabishano ni bifu.. tuache Ku kremu na tukue kiakili kuna maisha mengine mbele wale Wa falme Wa mbeya mbaki na ubabu tale wenu kama mnakumbukumbu siku nlipoona hyo cover enu hot sea nli😳😳 nlipoulzwa nn.nkajibu tangazo wenye kumbukumbu mtakumbuka hizo taarifa alnipea zax wap taarifa  caption ya show... maombez mabaya na mazuri zote sala good luck king Wa mbeya babu taleeeh.... mie Sala zako nsema amen ....ila muache kutumia wasanii wa mbeya ka vitega uchumi vyenu mkiishiwa kama mmeamua kufanya haya mfanye kuinua Sana'a Zao na mifuko yao pia xo kukuza mifuko yenu Uku mkikuza wasanii maskin wenye majina makubwa mitaani. Kwao nao wanavimba tuuh....by da way hizi SMS haziusiani na sabab ya mm kutofanya show ila maneno kinyesi yenu yamenikela kujikuta miungu watu mnisamehe nilizaliwa ivi ila mejtahid sana kuwalia buti mda mrefu ert nawaheshim.... hot ungekua na busara usinge nli muv af muanze kinijadir huwo ni usenge 

Samahan kwa lugha chafu ila yo guys nma deserve mo dan dis from me mewavumilia mechoka......mi so yesu.......

[12:15, 14/03/2016] ‪+255 652 397 748‬: [12:10PM, 3/14/2016] Kikunizo: Oya hii ishu c nishatoa maelezo MBNA km mnataka kuikuza @nasir
[12:11PM, 3/14/2016] Kikunizo: Au unahis petronia alikuwa sahihi kuipost humu kuliko kuwafata wahusika private ahaa Aachen hzo
[12:12PM, 3/14/2016] nasir green: Kiku ishu imetokea imetokea mbona na wewe haujaumfuata private kumuelekeza badala yake unaongea kauli hizo?
[12:12PM, 3/14/2016] Gachi: Je wahusika walimfuata petty private  pia maana tunaaeza kuongelea private wakati wao pia hawakuifanya private
[12:20, 14/03/2016] ‪+255 652 397 748‬: [12:16PM, 3/14/2016] Kikunizo: Nikishawaambia nilimwambia Robert anitumie majina akatuma kwan umeona msanii wa t motion kalalamika? Then zax nae akatuma wa kwake akiwemo petronia SS hyo ishu ya kuongea nae muulizen zax ndo atawajibu vzuri
[12:20PM, 3/14/2016] nasir green: Kuna kitu kinaitwa planning na research wakati wa kuandaa event ambapo hivo vitu hufanywa kiteamwork na hiyo team inatoa taarifa kwa wale wote watakao kuwa nao kwenye event kwa kuwapigia simu na kukubaliana nao na wao walidhie makubaliano ya kiwepo kwenye event sasa unaposema robert mara zax means wewe haukuwepo wakati wa kuiandaa sasa kwanini ujibu badala ya zax na Robert wao ndo wajibu?



TOA MAONI YAKO KWENYE KISANDUKU CHA MAONI

Exclusive:Hakuna siri tena Ay Kaingia WCB

Legendary wa muziki wa Bongo fleva Ambwene Yesaya Maarufu kama AY sasa Imetangazwa Rasmi kuwa yupo chini ya Sallam skin,Ambaye pia ni Meneja wa Msanii Nguli Diamond,Sallam kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema Anayo furaha kummenej Msanii mkongwe km AY.Inasemekana Ay amechukua uamuzi huo baada ya Ngoma yake ya ZIGO remix kufanya vizuri Ndani na Nje ya nchi

New Video:Dogo Janja katuletea video ya My life

Dogo janja Anawaalika kutazama video yake mpya iliyoongozwa
  Na director Hansana Nimekuwekea hapa Enjoy》》Dogo Janja - My Life (Official Music Video): http://youtu.be/PGxLp4v1aYE

Lil Wayne Azindua Samsung Galaxy S7 kwa kuimwagia wayne.

Uzinduzi wa Samsung S7 uliofanyika U.S.A. ambapo rapper Lil wayne Alikuwa miongoni mwa ma celebrity walioalikwa kwenye Shughuli hiyo akiwa kama Balozi wa simu hiyo.Baada ya kupewa Simu hiyo akaimwagia wayne ili kuthibitisha kuwa Aina hyo ya simu haipitishi Maji (water resist)

Nay wa Mitego Awachana wasanii wanaofanya show za Sebuleni Ulaya.

Baada ya ngoma ya Shika adabu yako ku make headline tangu itoke mpaka sasa,Nay Anaendelea kuwashikisha adabu mastaa wenzake Japo hakuwataja kwa majina.Alitoa kauli hiyo Kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Aliandika hayo baada ya kupost video ya Diamond aliyoperform last week nchini Marekani (hard rock cafe)

Diamond Azidi Kupenya Europe

Kadri siku zinavozidi kwenda Mambo yanonekana kwenda Vizur kwa Nguli wa muziki Tanzania Nasseb Abdul (diamond Platnumz).Imepita wiki moja Tangu Amefanya Show Las Vegas Marekani  (Hard Rock Cafe) na kujaza Ukumbi Kinoma Show za ulaya bado zinaendelea.Tazama list ya show Pichani

Tuachie maoni yako hapo chini

Breaking News:Petronia Amesema Hataperfom kwenye Kwenye show ya Zax

Mwanadada anaefanya vizuri kwenye Game la muziki Mbeya,Petronia (Petyga) Licha Ya kuwa kwenye List ya wasanii watakao perform katika show iliyopangwa k fanyika tar 1 April.Amesema hataweza kuperfom kwa sababu ambazo bdo hajaziweka wazi.
Msanii huyo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Baki Nae Uliofanyika Green Records Alituma ujumbe Huo kwa Njia ya watsapp na chanzo cha habar kilipofanya uchunguzi wa nn chanzo bado jibu halikupatikana
Team ya Info za town Inaendelea na Uchunguzi kujua nini chanzo.


Toa maoni yako

Sunday, March 13, 2016

Sababu 5 zinazonyesha P square Wametengana.

"Siku ukiona mmoja Kati yetu amefanya wimbo peke yake njoo utuulize kinyume na hapo tuko vizuri"Hayo ni Maneno ambayo Paul Okoye anaeunda kundi la P square Aliwahi kusema.

Zifuatazo ni sababu tano zinazo Onesha P square Haipo Tena.
  1. Tar 7 March Peter Okoye Aliachia wimbo wake Alioimba peke yake Unaoitwa Look into my Eyes 
  2. Katika Kutofautisha majina na Kuondoa P square Peter anajiita Mr.P Paul anajiita Rudeboy 
  3. Wote wanamiliki rebo mbili Tofauti Ya Peter inaitwa P-classic huku ya Paul ikiitwa Rudeboy records
  4. April 7 Peter kwa mara ya kwanza ataperform kama solo artist kwenye visiwa vya Dubai
  5. Peter ameonekana akifanya kazi peke yake (solo artist)siku nne zilizopita alipost picha akiwa studio na producer Selebobo.



Tuachie maoni yako tafadhali

Idriss Aumbuka!!

Mshindi wa Big Brother Africa Idriss Sultan Jana Yamemkuta,Baada ya kupost picha kwenye page yake ya Instagram akiwa Amevaa saa aina tofauti.Ukurasa maarufu Instagram kwa kubaini saa feki ulimpa makavu idris kuwa saa zote alizopost ni feki na hazijulikani.
Mpaka sasa Idris hajafunguka kuhusu swala hilo

Zigo Remix Yafikisha Viewers Milioni 4

Ikiwa ni safari ya mwezi mmoja ngoma Ya Ay ft.Diamond platnumz (Zigo Remix)Imefikisha Views milioni nne.Hii ni Hatua nyingine kubwa kwa Muziki wa bongo fleva

Eti Ray Amejisahau Sana.

Baada ya Lulu na Richie mtambalike kunyakua tuzo kubwa za filamu huko Nchini Nigeria,Wadau wa filamu Tanzania (Bongo Movies) wamefunguka kuwa toka Marehemu Steven Kanumba amefariki mambo kwa ray yanakwenda mrama,maana anaonekana ameridhika kutokana na kukosa ushindani aliokuwa akiupata enzi za marehemu Kanumba.Wengi wakisema ray ndiye alikuwa anaonekana ataipeperusha  vizur bendera ya Tz.
Ray ambaye kwa sasa yupo kwenye promosheni ya muvi yake mpya iitwayo "Tajiri Mfupi"Aliwashirikisha mastaa kadhaa ikiwemo Batuli