Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Q-Chillah ameachia rasmi wimbo wake mpya unaitwa “Koku” ambao amemshirikisha mkali wa dancehall kutoka Nigeria Patoranking. Sikiliza hapa chini.
Thursday, December 8, 2016
Friday, October 7, 2016
Alichosema Amber Lulu Baada Ya Kukamatwa Na Unga
Video Qeen Anayefanya Vizuri Bongo Amber Lulu Ambaye Pia Amejizolea Umaarufu mkubwa kupitia Mtandao Wa Instagram Kwa kupiga picha za utata "Nusu Utupu" Mnamo 4 Oct Aliripotiwa kukamatwa Na Madawa Ya Kulevya Jijini Arusha Huku Marafiki zake wa karibu akiwemo gigy money Kusema kuwa Akome Na apewe Adhabu kali kupitia Xxl Ya Clouds Segment Ya Soudy Brown..Sasa Mrembo Huyo Yupo Mtaani Amerudi Na Amemwambia Hivi Gigy Money Na Wengineo Bonyeza Hapa>> http://m.youtube.com/watch?v=buUcmcXyuSk
Thursday, September 1, 2016
Saturday, May 7, 2016
Video:Shetta " NAMJUA'
May 6, 2016 Shetta ametimiza ahadi ya kutupa video yake mpya inayoambatana na ujio wake mpya ambapo hii kazi imefanywa na director Nic Roux aliyehusika kwenye utengenezaji wa video kadhaa ikiwemo yaAKA ft Diamond Platnumz – Make me sing,Harmonize ft Diamond Platnumz – Bado na video ya kundi la Mavins ‘Dorobucci’
Umeionaje video na wimbo wenyewe? Shetta atapenda kuisoma comment yako hapa chini mtu wangu
Wednesday, May 4, 2016
Shilole Asema Haya Baada Ya Chura Ya Snura Kufungiwa.
Ni Mei 4, 2016 ambapo kupitia wizara ya Habari na Utamaduni, Michezo walitoa taarifa za kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kuanzia leo na kuitoa nyimbo hiyo kwenye mitandao yote ya kijamii mpaka hapo Snura atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo.
Sasa taarifa hizo zimemfikia Soudy Brown wa U Heard wa kipindi cha XXL ambapo kwenye Uheard amesikika Snura alichowahi kuzungumza kabla ya ngoma yake kufungiwa…..
>>>siruhusu video yangu kuchezwa kwenye TV yoyote, ile video ni ya youtube kwa hiyo mtu anaposema maadili, sijui watoto, huyo mtoto anayeacha kwenda library kujisomea na kutafuta chura youtube huyo ni mtu mzima’:
Soudy Brown amezungumza na Shilole na kumuuliza kama amesikia wimbo wa ‘Chura’ kufungiwa, Shilole ameyazungumza haya………>>>nimezisoma habari hizo japo sijazijua kwa undani, mimi nampa pole tu lakini ndio tujifunze kupitia vitu kama hivi
Monday, April 18, 2016
Wasanii Na Watu Maarufu Mbeya Ambao Hawana Smartphone Kwa Sasa.
By Info Za Town
Katika Ulimwengu wa leo wa sayansi na teckonolojia uliogubikwa na utandawazi sio Rahisi Kwa kijana kukosa kumiliki Smartphone,Japo Si kwa Kupenda Ila kulingana Na sababu tofauti tofauti Watu Maarufu Kadhaa Wa Mbeya wameingia Kwenye list hii ya kutomiliki Smartphone
Zax For Real Jamaa anafanya vizuri kwenye Industry ya Muziki Jijini Mbeya lakini mpaka sasa smartphone imekuwa tatizo kubwa kwake hali inayosababisha kushindwa kutangaza kazi zake kiufasaha.
Clarence Jamaa anasifika kwa kuwa na sauti nzuri inayowavutia Watu wengi lakini mpaka habari hii inakufikia Jamaa hana smartphone na hana Hata mpango wa kununua aina ya simu hizo za kisasa.
Kasu Anafahamika kama Nay wa mbeya Kwa tabia yake ya kuimba kwa kuwataja majina wahusika lakini sifa hizo hazimsaidia kabisa kupata Smartphone.
Petronia mwanadada huyu ambaye amejizolea umaarufu kupitia muziki lakini Toka simu yake iharibike amepotea mitandaoni kwa takribani mwezi mzima.
Pascal mzee wa chimbo mtangazaji huyu kutoka dream fm mapema Jana amepoteza simu yake hivo ameingia Kwenye list hii.
Toa maoni yako hapo chini
Thursday, April 14, 2016
Hakuna timu ya Ujerumani iliyowahi ifunga Liverpool Nyumbani
Siku moja baada ya michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa na kushuhudia vilabu kadhaa vikiaga mashindano hayo, usiku wa April 14 ilikuwa ni zamu ya kushuhudia robo fainali ya michuano ya UEFA Europa league.
Miongoni mwa michezo iliyokuwa inatazamwa usiku wa April 14 ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Borrusia Dortmunduliyochezwa katika dimba la Anfield, mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kuibuka na ushindi wa goli 4-3, hivyo kuiondoa Dortmundkwa aggregate ya 5-4.

Magoli ya Dortmund yalifungwa na Henrik Mkhitaryan dakika ya 5, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 9 na Marco Reusdakika ya 57, wakati magoli ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi dakika ya 48, Philippe Coutinho dakika ya 66, Mamadou Sakho dakika ya 78 na Dejan Lovren dakika ya 90.

Hii ndio rekodi ya Liverpool dhidi ya vilabu vya Ujerumani kabla ya mchezo wa leo
Liverpool wameendeleza rekodi yao ya kutofungwa na vilabu vya Ujerumani ndani ya uwanja wao wa Anfield, kwani rekodi kutoka 101greatgoals zinaonesha Liverpoolhajawahi kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani na vilabu vya Ujerumani katika jumla ya mechi zake 13 alizocheza kabla ya mchezo huu. Sevilla, Shakhtar Donetsk na Villarreal ndio zimefuzu nusu fainali.
Video ya magoli ya Liverpool vs Dortmund
Mbeya Celebrity:Bila A.K.A Wangeitwa Hivi!
Inawezekana Wakawa Sio Maarufu Lakini Unawasikia sikia mara kwa mara kutokana na harakati zao kwene sanaa Na Unawasikia kwa majina ya a.k.a
.Baada ya Uchunguzi Wa Chini Chini Info za Town inasogezea list ya Baadhi ya watu Hao na majina Yao halisi.
1. Zax 4 Real - Zakayo Asumedi Mwakalebule
2. Berdon Master Mind - Berdon Baraka
3. Tros - Peter Oscar
4. Kikunizo - Ziko Mwambingija
5. Dr.Fazi - Elifazi Ntwale
6. Sarmy Clever - Mudi
7. Nollesy - Innocent Mfaume
8. Em 1 - Emmanuel
9. Micky Brown - Emmanuel
10. Moe P - Oscar
11. Smart B - Amir Abdullah
12.D Brain - Daniel
13. Gach - Justin
14. Lil Stiggar - Hadija Mangachi
15. Ammy Chibber - Amina Chibaba
16. Petyga - Petronia Mfaume
17. D Boy - Denis Saul
18. E Music - Elisha
19. Kim Nana - Subhilaga Mwambigija
20. Dj Hiplus - Haidary
Usikose Kutembelea Info za Town Kila Siku.Tuachie Maoni Yako Hapo Chini
.Baada ya Uchunguzi Wa Chini Chini Info za Town inasogezea list ya Baadhi ya watu Hao na majina Yao halisi.
1. Zax 4 Real - Zakayo Asumedi Mwakalebule
2. Berdon Master Mind - Berdon Baraka
3. Tros - Peter Oscar
4. Kikunizo - Ziko Mwambingija
5. Dr.Fazi - Elifazi Ntwale
6. Sarmy Clever - Mudi
7. Nollesy - Innocent Mfaume
8. Em 1 - Emmanuel
9. Micky Brown - Emmanuel
10. Moe P - Oscar
11. Smart B - Amir Abdullah
12.D Brain - Daniel
13. Gach - Justin
14. Lil Stiggar - Hadija Mangachi
15. Ammy Chibber - Amina Chibaba
16. Petyga - Petronia Mfaume
17. D Boy - Denis Saul
18. E Music - Elisha
19. Kim Nana - Subhilaga Mwambigija
20. Dj Hiplus - Haidary
Usikose Kutembelea Info za Town Kila Siku.Tuachie Maoni Yako Hapo Chini
Barca Out UEFA
FC Barcelona imevuliwa Ubingwa wa UEFA na Atletico Madrid kwa kipigo hiki (+Video)
Info Za Town (IZT)
Usiku wa April 13 2016 ndio zilichezwa mechi mbili za mwisho za hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya, klabu ya FC Barcelona ilikuwa mgeni dhidi yaAtletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon wakati FC Bayern Munich walikuwa Ureno kucheza na Benfica.
FC Barcelona ambao ndio walikuwa mabingwa watetezi wa Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya, wamevuliwa ubingwa kwa kufungwa jumla ya 2-0, hivyo kuondolewa mashindano kwa jumla ya goli 3-2, hiyo inatokana na matokeo ya mechi yao ya Nou Camp kuifunga Atletico goli 2-1.

Magoli ya Atletico alifunga Antoine Griezmann dakika ya 36 na dakika ya 88 akapachika goli la pili kwa mkwaju wa penati na kufanya nyota wa FC Barcelona kamaLionel Messi na wengine kutoamini kilichotokea. FC Bayern wao wamepita kwa aggregate ya 3-2, baada ya mchezo wa leo kumalizika kwa sare ya goli 2-2.
Video ya magoli ya Atletico Vs Barcelona, Full Time 2-0
Thursday, April 7, 2016
EXCLUSIVE:Kumbe Diamond Hajatoboa Pua Ukweli Huu Hapa
Uliiona picha ya Diamond Platnumz kutoboa pua?! ukweli ninao hapa
INfo Za Town
Kwa saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa pua.
Ukweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>> ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’

Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.
kweli ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza kuuliza >>> ‘Usiamini kila unachoona kwenye picha au unachoambiwa, mlikuwa mmelala sana amewaamsha kidogo’
Maneno ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee kupanic.

Wednesday, April 6, 2016
Diamond,Stan Bakora Watoboa Pua Nay Wamitego Asema Neno
Picha ya Diamond Platnumz inayo-trend sana mitandao, Ney wa Mitego hakutaka impite
Info Za Town
Staa mwenye jina zito kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Diamond Platnumz bado jina lake imekuwa ngumu kukauka midomoni mwa watu, hii inatokana na uwezo wake mkubwa wa kuimba pamoja na kuachia video kali kila kukicha.
Diamond Platnumz usiku wa April 6 kuamkia April 7 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha inayomuonesha akiwa kavaa kipini puani, picha ambayo imepata comment nyingi kutokana na watu wengi kushangazwa kwa kitendo hicho, bado millardayo.com haijapata majibu kutoka kwa Diamond kama kweli katoboa pua au la.

Post ya Diamond
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Nay wa Mitego aliwahi kumkosoa Chid Benz katika wimbo wa “Nasema nao“ kuhusu uamuzi wa kutoboa pua, ila picha ya Diamond Platnumzaliipost katika account yake ya instagram na kuandika “naytrueboy Baba Tiffah you look mmmwaaah😍😍,@diamondplatnumzumenogaaaaa mwananguuuuuuuuuu..!! Hukoseagi yaniiii😎😎.! Mapovuuuuuuuuu sasaaaaa😂😂😂

Hii ni post ya Nay wa Mitego

Hii ni post ya Stan Bakora ambaye aliipost muda mchache baada ya Diamond kupost
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki wa Diamond Platnumz
- molas_777_photosAhh Chris Brown pia katoboa…kamwangalieni kwenye page take….
- justine_da_santos@kasalaibra_mikono_michafu hilo ni fumbo kwenu msioelewa labda nikusaidie tu chibu ajatoboa pua hyo ni project mpy ngoj niishie hapa
- dulla.starfitnessMy nigga. Looking great👍🏾 #nosepeacing Haters gonna hate always!!
- mocstornado😄Wabongo wamemaindi kinyama.. utadhani katumia bajet ya serikali kutoboa. 😂😂😂😂 @millz_
Tuesday, April 5, 2016
EXCLUSIVE: Baada ya kurudi CloudsFM Gardner G. Habash kaongea haya matano.. aliwahi kutamani kurudi Clouds?
Info Za Town
:KIKUBWA ULICHOMIS CLOUDS UKIWA NJE:
Niliimis Clouds kama familia lakini pia nilimiss sana ile hali ya kuwa nafanya matamasha na Clouds kwa mfano tamasha kubwa kama la FIESTA ni tamasha ambalo lilitupeleka mikoa mingi sana, hiyo hali niliimis sana.
ULIWAHI KUTAMANI KURUDI CLOUDS?
Unajua yale matamanio mazuri yako kwa binadamu yeyote katika vitu mbalimbali alivyoviacha huko nyuma, tamanio langu kubwa ilikua ni pale nilipokua naona kuna sehemu ambayo Clouds wanapungukiwa ambayo kampuni yoyote duniani kuna sehemu wanapungukiwa na kwengine wanafanya vizuri, mimi nilipokua naona kama sehemu flani wamepungukiwa kidogo niliwaza ningekuwepo ningeshirikiana nao labda upungufu huu usingekuwepo japo hiyo haimaanishi kwamba mimi ni bora zaidi.
NI WAKATI GANI ULIPATA TAARIFA KWAMBA UNARUDI CLOUDS?
Mazungumzo yalivyoanza na mtu ambaye mimi namuita Wakala Shaffih Daudamazungumzo yalianza tu kama mazungumzo ya kawaida kwasababu alivyonipa taarifa kwamba amekuwa mkuu mpya wa vipindiCloudsFM nikampongeza tu kikawaida, akaniuliza inawezekana vipi kufanya kazi pamoja na mimi, nikamwambia ni jambo linalowezekana na baada ya hapo ndio tukaanza mazungumzo na kufikishwa kwa viongozi, Jumapili April 3 2016 nikawa nimefikia makubaliano kamili nikaaga nilikokua nafanya kazi’
ULICHUKUA MUDA GANI KUFANYA MAAMUZI KWAMBA UNARUDI RASMI CLOUDS?
Nilipoongea na viongozi wa juu Clouds ndio nikasema kama hata Wakurugenzi wameona inafaa mimi kurudi kwenye familia na tushikamane pamoja kuendeleza hili gurudumu, nikaona sio vibaya kupokea wito wa watu ambao walinipokea tangu nilipoingia mara ya kwanza kwenye media wakanifundisha mengi nikakua na kutajwa kati ya wale bora, nikaona leo wananiita tena… ni nafasi ambayo sikuweza kuiacha
KITU GANI UNATAKA KIWAFIKIE MASHABIKI WA CLOUDSFM?
‘Msimu mpya wa CloudsFM ni tarehe 11 April 2016 na nitasikika moja kwa moja kupitia show ya JAHAZI na ndugu yangu Ephraim Kibonde, jingine la muhimu watu inabidi wajue ni haijalishi ni sehemu gani umepita ukaona kama umepunjwa, haijalishi ni kiasi gani umepoteza kile ambacho unakistahili… kumbuka tu Mungu ndie anayetoa na anaetoa bado yupo hivyo kama kuna kile unachostahili kupewa atakupa Mungu’
Gadna Arudi Clouds Fm
Ni miongoni mwa Watangazaji wenye majina makubwa na waliofanya vizuri sana kupitiaCloudsFM, Radio yenye zaidi ya miaka 16 toka ianze kurusha matangazo yake kwenye sehemu mbalimbali Tanzania.
Kabla ya kutangaza kuacha kaziCloudsFM December 2010, Gardner aling’aa sana kupitia show za JAHAZI na hataCloudsFM Top 20 miaka hiyo na sasa habari kubwa na nzuri kwa mashabiki wote waCloudsFM ni kwamba Gardner G. Habash a.k.a Captain amerejea CloudsFM na ameshasaini mkataba.
Gardner anarudi kui-run show ileile aliyoiacha wakati anaondoka, JAHAZI CloudsFM time hizo akiwa na Ephraim Kibonde na sasa wataendelea kuwa pamoja kuanzia saa kumi jioni mpaka saa moja usiku ambapo Gardner amefanya Exclusive Interview na Zamaradi Mketema wa TAKE ONE CloudsTV na itaonekana leo usiku so kuanzia saa tatu kaa karibu na TV yako.

Gardner akisaini mkataba wake mpya pembeni ya mkuu wa vipindi CloudsFM Shaffih Dauda
Kwenye Interview yake na MKASI TV October 2014, Gardner G. Habash alisema ‘nimeifanyia mambo mazuri bongofleva na ningependa kutumwa zaidi kufanya mambo mazuri, kingine kizuri zaidi kwenye show zangu napiga sana nyimbo za bongofleva kuliko nyimbo za kutoka sehemu nyingine’
Kuhusu historia yake ya kuanza kazi ya utangazaji, Gardner G aliiambia MKASI TVkwamba aliingia CloudsFM kama mtu wa masoko na ni baada ya kuchukuliwa na mteja wake aitwae Othman Njaidi ambaye alikua anamkubali Gardner sababu alikua na uwezo wa kumshawishi mteja yeyote kununua chochote kwani wakati huo Captain G alikua akiuza kanda za video na audio Mwanza.
‘Nilimwambia Othman Njaidi ninahamu ya kufanya kazi kwenye Radio akanichukua mpaka CloudsFM na kunikutanisha na Ruge nikafanye kazi kwenye timu ya watu wa masoko na sio mtangazaji lakini nilipokutanishwa na Ruge Mutahabaaliponisikia lafudhi yangu akasema huyu anafaa kuwa Mtangazaji, akanipeleka kipindi cha AFRIKA BAMBATAA na Marehemu Amina Chifupa na kuanzia hapo ikabaki historia’ – Gardner
Una chochote cha moyoni kuhusu kurudi kwa Captain G CloudsFM? unaweza kuniachia comment yako hapa chini
Rais Magufuli Anasafiri Nje Ya Nchi Kwa Mara Ya Kwanza
Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena. Rais Magufuli amerudi kwenye headlines baada ya kukubali mwaliko wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, hivyo atafanya ziara ya siku mbili Jumatano na Alhamisi.
Stori kutoka wizara ya mambo ya nje zinaeleza kuwa Rais Magufuli pamoja na Rais Kagame watafungua daraja la kimataifa la Rusumo linaounganisha mpaka waTanzania na Rwanda na kuzindua ushirikiano wa huduma za kituo cha pamoja.Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari na kusomwa katika television zaTanzania Rais Magufuli atasafiri kwa gari.

Kutoka kushoto ni Rais Magufuli na Rais Paul Kagame wa Rwanda
Rais Magufuli pia atakwenda kuweka shada katika makaburi ya mauaji ya Kimbali ya mwaka 1994 na baadae kufanya mazungumzo ya pamoja na Rais Kagamemjini Kigali. Hii ndio itakuwa safari ya kwanza ya Rais Magufuli kusafiri nje ya nchi toka aingie madarakani October 2015.
Wednesday, March 30, 2016
Chriss_r7;Photographer Mdogo Anae kuja kwa kasi Tanzania
![]() |
| chriss_r7 |
kijana huyo ambaye yupo chini ya kampuni ya Dream Multimedia Iliyopo Sinza jijini dar es saalam inayodeal na Photoshoot pamoja na video Ameshafanya kazi na wasanii wakubwa kadhaa Baadhi Ni Zamaradi Mketema(mtangazaji clouds fm)Isha Mashauzi(muimbaji Nguli wa Taarab,Riyama Ally(Muiigizaji,Leo Masterio(mwanamuziki) Na Tross (mwanamuziki)
![]() |
| Zamaradi na Chris |
Hizi ni Picha 10 Exclussive chini ya mikono yake
Toa maoni yako kwenye kisanduku hapo chini
Saturday, March 26, 2016
Dudu Baya Asema Chid Benz Hatakiwi Kusaidiwa
Baada ya rapa Chidi Benz kuomba msaada ili asaidiwe
kuirudisha afya yake ambayo imethorofika kutokana na
matumizi ya Madawa ya kulevyana na baadae kusaidiwa na
Babu Tale kwa kupelekwa rehab. Wadau mbalimbali pamoja
na wasanii wenzake walimpongeza Babutale lakini Dudu Baya
amedai hakupenda rapa huyo asaidiwe.
Dudu amedai rapa huyo hakuwa tayari kusaidiwa
ndio maana baada ya
kusaidiwa anataka kujipangia baadhi ya mambo.
“Watu mfano wa Chidi Benz hawatakiwi kusaidiwa,
niwakuachwa wafe na wazikwe. Kwanza ni waongo,
ukikutana nao utasikia naumwa au nimefiwa, utampa
msaada, mwisho wa siku anaenda kujidunga. Misaada kama
hii inatufanya majina yetu kuwekwa kataka orodha ya wauaji
(killers),” alisema Dudu.
Aliongeza, “Babutale na wenzake walipomfisha Chidi Benz
rehab kwanza alianza kuweka masharti yake kituoni, mara
hawezi kushauriwa na mtu ambaye hajawahi kutumia sumu
hiyo (unga). Hapo ndipo nilipogundua amebebwa kinguvu bila
yeye kuwa tayari kupona. Ni sawa na mgonjwa apelekwe
hospitali then aanze kutoa masharti yake, eti hiki kitanda
sikitaki. Wewe dokta huwezi kunitibu kwa sababu hujawahi
kuumwa ugonjwa ninaoumwa, mgonjwa kama huyo si
nachotaka ni kifo?. Hata wakati yesu amekuja kutukomboa
na dhambi, aliponya wagonjwa waliokuwa tayari kupona, hata
leo umpeleke ndugu yako kanisani au msikitini akaombewe
aache ulevi au umalaya, kama hana dhamira ndani ya moyo
wake ya kuacha, hakiwezi tokea chochote,”
Pia Dudu amesema wasanii wengi wanasikia kila siku kuhusu
madhara ya Madawa ya kulevya lakini wanapuuzia.
Chidi Benz si mtoto mdogo, ameshuhudia wasanii na watu
wa kawaida wengi tukiwapoteza kwa sababu ya Madawa ya
kulevya lakini wanapuumzia, wanarudia kubwia tena. iweje
leo yeye ajiingize kataka ulimwengu huo? hakika kifo
anakitaka mwenyewe na si kurubuniwa. Uzuri wa Tanzania
hatuna umasikini wa ardhi, watu kama hawa hawana faida
kwa taifa, niwakuacha wafe na wazikwe. Na kama
inawezekana Mh Rais Magufuli angetoa amri mateja wakifa
wazikwe na jiji. Kwa sababu sioni ndugu yeyote wa Chidi
yuko bize na rapper huyo.
Thursday, March 17, 2016
Raymond alivyokutana na Diamond
Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz:
Msanii Chipukizi Aliyewahi kuwa mshindi wa Freestyle Tanzania Nzima,ambaye ss amesaini Label ya WCB inayomilikiwa na Mbongo Fleva Diamond Platnumz Amefunguka Jinsi ambavyo alikutana na Diamond Kupitia Mic za Millard ayo Info za town inakusogezea hii..
BOFYA HAPA Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz:Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz: http://youtu.be/Q2N730e7tkI
Tuesday, March 15, 2016
Bye Bye P Square.
Kama ni mpitiaji mzur
Wa blog Hii juzi tuli report Sababu 5 Kuwa P square haipo tena..hiyo ni kulingana na mfululizo wa matukio yanayoonesha wazi wanamuziki hao Nguli wa Muziki Africa wameamua kutengana moja ya matukio hayo ni hili la Peter Okoye Ambaye kwa ss anajiita Mr.P kufanya Show peke yake kama Solo Artist kitu ambacho hakijazoeleka na haijawahi kutokea.
Lakini kama bado Haitoshi Peter Okoye Mr.P Ametangaza Management yake mpya Kupitia ukurasa wake wa Instagram .
Wadau wa muziki wanasikitishwa sana na mambo haya yanayoendelea baina ya ndugu hao..
New Song:Ningefanyaje Remix Ben paul ft.G Nako &Vj adams
Leo hii msanii Nguli wa R&B Ben Paul Ameachia track yake mpya ya Ningefanyaje remix aliyompa
Shavu m Nigeria Vj Adams pamoja na mbongo mwezie G nako.Nimekuweke hapa》》https://mkito.com/song/nitafanyaje-ningefanyaje-remix/19325
Monday, March 14, 2016
Exclusive:Petronia Vs Kikunizo Mwanzo mwisho Hii Hapa
Bila Shaka Utakuwa Umesikia maneno yanayoendelea.Baada ya msanii anayefanya poa nyanda za juu KUSINI Petronia kusema hata Perform katika show ya Zax..sasa jua chanzo cha yote
Mambo Yalianza hivi kwenye moja ya magroup watsapp
Mambo Yalianza hivi kwenye moja ya magroup watsapp
Baada ya petty kutoka kauli hiyo kikunizo akajibu hivi
Baada ya kauli hyo Uvumilivu ulimshinda mwanadada petty majibizano yaliyofuata hayawekuweza kutosha kwenye screenshot lkn Team yetu ya Info za town ikaona isiwe tabu ikuletee Mdau uyasome km yalivyo.
MAJIBIZANO YALIKUWA HIVI
[10:28, 14/03/2016] fetty: Achana nae Rama huyu ni kumbabutale tu kashajiona ametusua wakat wenye game tunamuangalia tu hv km alikuwa hataki kuperfom kwann asingesema toka posters ya kwanza imetoka then why hajanifata private ishu iko hv wakat posters nataka kudesign nilimpigia Robert nikamwambia anitajie wasanii watano anaotaka waperfom cku hyo akanitumia majina nadhani uneyaona pale na pia nilimpigia na zax pia akatuma jina la petronia SS ilitakiwa ahoji km akupewa taarifa @all
[12:36, 14/03/2016] Petronia Mfaume: Petronia yahya mfaume
Jamani mtu anapo waheshim mjarbu kushika adabu zenu Mimi xo msukule Wa mtu narudia tena mm xo msukure Wa mtu nimewaheshim vya kutosha sasa naomba niseme ya takoni mana ya moyoni msije ntoa roho
Marangapi mneniita kwenye show zenu bila hiyana mtoto Wa watu na kuja bila hata kupigiwa kengere haya mmeandaa show now hamkunshirikisha chochote nakuja ona postaz tu nkakaa kimya nkajua mtajishtukia mnakuja nieka kene group na postaz nyingine juu.. ivi mnazani watu hatuna ratiba zingine ni vile mkijisikia nyie hamna ela za mboga mnakaa kujadir na familia zenu now tuandae show tusje kufa njaa mnasahau kuwa hao wasanii mnaowatumia nao ni maskin ka nyie na lengo lao kufika mbali xo kuskika kwenye mageto ya washkaji zao af mtu unavimba kabsa ert tum babu tale....kwamba ww ni nani kwamfano kama mwanijua kwa jina la petronia still mnasafar ndefu sana kunijua kiundani.... alilopanga salehe ..juma anaeza lipangua ila xo la mungu .... ert najifanya star... jamani mm co star kwa jina lisilo rasmi naitwa petronia yahya mfaume msichana mwenye ndoto za kutimiza kila ninaloliomba kwa mungu lifanikiwe....xijawah kuwa na ushabiki Wa kitu wala mtu yoyote tangu nzaliwe nafanya kile roho yangu inapenda Mimi xo kitega uchumi cha mtu mkiishiwa ela za mboga mkurupuke kuntumia ka msukure wenu tena mshike adabu zenu asubuh nliongea simple tu xta kuepo kwenye show.... xikutoa sababu na bado sijaitoa na szan ka kuna haja ya kuitoa.. kazi kwenu...
SHIKA ADABU YAKO😾😠
Vipaji ckupewa na babu zenu ka nyie ma star x mjieke kwenye list mkaimbe
.......
[12:47, 14/03/2016] fetty: [12:44, 3/14/2016] Doctor Faz: Narudia KILICHOTOKEA KIMETOKEA ALIYEKOSEA AJIREKEBISHE NA ASIRUDIE TENA NAJUA ANASOMA HAPA SOO YAISHE TUSONGE MBELE MALUMBANO HAYATUSAIDII KUFANIKISHA MALENGO YA EVENT GUYS EM LIISHE HILI TUFANYE HII HARAKAT KWA UFANIS TAREHE ZIMEISHA
[12:44, 3/14/2016] +255 684 881 884: MAKUBWAAAAAAA😳😳😳😳😳
[12:45, 3/14/2016] 8D Twice: Kwa ujumbe wa petty sidhani kama studio zinahusika hapo ila ni wazi kuwa wasanii nao washachoka kutumiwa kwa self interest za watu flani hapo hata challenge haipo kila akienda kupafom anakuta wasanii walewale haoni kipya...inachosha badilikeni jamani
[12:45, 3/14/2016] Kikunizo: Nasir kaniambia msanii yuko chini yake inbox ushaidi ninao lkn hii sio Mara ya kwanza nakumbuka ata show ya tros nasir aligoma nolesy mtafya wasiimbe kwny show wakat Tros alikuwa kashawaweka kwny jingo ishu ilikuwa kubwa mpka ilitaka kufika mahakamani anyway baada ya hii ishu watu wakanipenyezea Nani ni chanzo cha hii kitu ko sijataka kuumiza kichwa cose najua jinsi gan tunavyokwamishana wnyw pindi mziki tunapotaka tuupelekw mainstream, over
[12:46, 3/14/2016] Kikunizo: Then muulizen. Petty km hakuongea na zax?
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kwann usingefanya bargaining na tros au kwann mm usiniambie umezunguka sana chief ilikuwa ni ishu simple sana we ungesema tu kuna alot AF artist wameniomba kufanya heavy performance zaid ya huyo dgo ningejua nareplace VPlkn njia uliyotumia sio sahihi
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kwahiyo kiku mimi ndie niliemuandikia fetty huo ujumbe uletwe huku?
[12:56, 14/03/2016] fetty: Kiku we ni mtu uliyepaswa kuleta mabadiriko makubwa kwani heshima yako ni kubwa sana katika mziki huu labda wengine wanahofu kusema kwasababu mnadai mtawababu tale lkn ss jambo lisilokuwa na usawa tunaongea haijalishi kafanyiwa nani ishu ya tros tros yumo humu aongee aliongea na nani kabla ya kumuweka mtafya au nolesy kwenye show yake
[12:56, 14/03/2016] fetty: petty samahan sana kwa kukuweka bila kukuambia kweny show japo mesej nyingi zax alikutumia na jana ucku mliongea yakaisha hvo plz poteza haya mambo endelea na ratiba yako dat y meomba utolew kila sehem ili kusawazisha mambo maana watu wamevalia njuga ili swala akat lilikua la kumalizana ww na zax kwasabu mnamwasiliano mazur tuu hamna bifu..👏👏
[13:31, 14/03/2016] Petronia Mfaume: Xo kila mabishano ni bifu.. tuache Ku kremu na tukue kiakili kuna maisha mengine mbele wale Wa falme Wa mbeya mbaki na ubabu tale wenu kama mnakumbukumbu siku nlipoona hyo cover enu hot sea nli😳😳 nlipoulzwa nn.nkajibu tangazo wenye kumbukumbu mtakumbuka hizo taarifa alnipea zax wap taarifa caption ya show... maombez mabaya na mazuri zote sala good luck king Wa mbeya babu taleeeh.... mie Sala zako nsema amen ....ila muache kutumia wasanii wa mbeya ka vitega uchumi vyenu mkiishiwa kama mmeamua kufanya haya mfanye kuinua Sana'a Zao na mifuko yao pia xo kukuza mifuko yenu Uku mkikuza wasanii maskin wenye majina makubwa mitaani. Kwao nao wanavimba tuuh....by da way hizi SMS haziusiani na sabab ya mm kutofanya show ila maneno kinyesi yenu yamenikela kujikuta miungu watu mnisamehe nilizaliwa ivi ila mejtahid sana kuwalia buti mda mrefu ert nawaheshim.... hot ungekua na busara usinge nli muv af muanze kinijadir huwo ni usenge
Samahan kwa lugha chafu ila yo guys nma deserve mo dan dis from me mewavumilia mechoka......mi so yesu.......
[12:15, 14/03/2016] +255 652 397 748: [12:10PM, 3/14/2016] Kikunizo: Oya hii ishu c nishatoa maelezo MBNA km mnataka kuikuza @nasir
[12:11PM, 3/14/2016] Kikunizo: Au unahis petronia alikuwa sahihi kuipost humu kuliko kuwafata wahusika private ahaa Aachen hzo
[12:12PM, 3/14/2016] nasir green: Kiku ishu imetokea imetokea mbona na wewe haujaumfuata private kumuelekeza badala yake unaongea kauli hizo?
[12:12PM, 3/14/2016] Gachi: Je wahusika walimfuata petty private pia maana tunaaeza kuongelea private wakati wao pia hawakuifanya private
[12:20, 14/03/2016] +255 652 397 748: [12:16PM, 3/14/2016] Kikunizo: Nikishawaambia nilimwambia Robert anitumie majina akatuma kwan umeona msanii wa t motion kalalamika? Then zax nae akatuma wa kwake akiwemo petronia SS hyo ishu ya kuongea nae muulizen zax ndo atawajibu vzuri
[12:20PM, 3/14/2016] nasir green: Kuna kitu kinaitwa planning na research wakati wa kuandaa event ambapo hivo vitu hufanywa kiteamwork na hiyo team inatoa taarifa kwa wale wote watakao kuwa nao kwenye event kwa kuwapigia simu na kukubaliana nao na wao walidhie makubaliano ya kiwepo kwenye event sasa unaposema robert mara zax means wewe haukuwepo wakati wa kuiandaa sasa kwanini ujibu badala ya zax na Robert wao ndo wajibu?
TOA MAONI YAKO KWENYE KISANDUKU CHA MAONI
Exclusive:Hakuna siri tena Ay Kaingia WCB
Legendary wa muziki wa Bongo fleva Ambwene Yesaya Maarufu kama AY sasa Imetangazwa Rasmi kuwa yupo chini ya Sallam skin,Ambaye pia ni Meneja wa Msanii Nguli Diamond,Sallam kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema Anayo furaha kummenej Msanii mkongwe km AY.Inasemekana Ay amechukua uamuzi huo baada ya Ngoma yake ya ZIGO remix kufanya vizuri Ndani na Nje ya nchi
New Video:Dogo Janja katuletea video ya My life
Dogo janja Anawaalika kutazama video yake mpya iliyoongozwa
Na director Hansana Nimekuwekea hapa Enjoy》》Dogo Janja - My Life (Official Music Video): http://youtu.be/PGxLp4v1aYE
Lil Wayne Azindua Samsung Galaxy S7 kwa kuimwagia wayne.
Uzinduzi wa Samsung S7 uliofanyika U.S.A. ambapo rapper Lil wayne Alikuwa miongoni mwa ma celebrity walioalikwa kwenye Shughuli hiyo akiwa kama Balozi wa simu hiyo.Baada ya kupewa Simu hiyo akaimwagia wayne ili kuthibitisha kuwa Aina hyo ya simu haipitishi Maji (water resist)
Nay wa Mitego Awachana wasanii wanaofanya show za Sebuleni Ulaya.
Baada ya ngoma ya Shika adabu yako ku make headline tangu itoke mpaka sasa,Nay Anaendelea kuwashikisha adabu mastaa wenzake Japo hakuwataja kwa majina.Alitoa kauli hiyo Kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Aliandika hayo baada ya kupost video ya Diamond aliyoperform last week nchini Marekani (hard rock cafe)
Subscribe to:
Comments (Atom)


































